Ufafanuzi wa baina katika Kiswahili

baina

kiunganishi

  • 1

    mojawapo kati ya vitu au watu wawili.

    kati

  • 2

    miongoni mwa.

Asili

Kar

Matamshi

baina

/bajina/