Ufafanuzi wa bainda katika Kiswahili

bainda

nomino

  • 1

    kibanio cha karatasi.

Asili

Kng

Matamshi

bainda

/bajinda/