Ufafanuzi wa baini katika Kiswahili

baini

kitenzi elekezi

  • 1

    tambua au fahamu jambo lililokuwa limefumbika.

Asili

Kar

Matamshi

baini

/bajini/