Ufafanuzi msingi wa bainifu katika Kiswahili

: bainifu1bainifu2

bainifu1

kivumishi

  • 1

    -enye kudhihirika; iliyo wazi.

Matamshi

bainifu

/bajinifu/

Ufafanuzi msingi wa bainifu katika Kiswahili

: bainifu1bainifu2

bainifu2

kivumishi

  • 1

    maalumu kwa kitu fulani.

    ‘Sifa bainifu za paka’

Matamshi

bainifu

/bajinifu/