Ufafanuzi msingi wa baka katika Kiswahili

: baka1baka2

baka1

nomino

  • 1

    alama au doa kwenye mwili.

    bato, paku, doa

Matamshi

baka

/baka/

Ufafanuzi msingi wa baka katika Kiswahili

: baka1baka2

baka2

kitenzi elekezi

  • 1

    kamata mtu kwa nguvu na kuzini naye bila ridhaa yake.

    najisi, bamba

Matamshi

baka

/baka/