Ufafanuzi wa bakalhadi katika Kiswahili

bakalhadi

nominoPlural bakalhadi

  • 1

    dawa inayotokana na utomvu wa mti fulani inayoponya magonjwa kama tumbo, mshipa wa riahi au baridi.

Asili

Kar

Matamshi

bakalhadi

/bakalhadi/