Ufafanuzi msingi wa baki katika Kiswahili

: baki1baki2baki3

baki1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iza

 • 1

  kosa kumalizika kabisa.

  dumu, salia

 • 2

  kosa kwenda popote.

  salia

Asili

Kar

Matamshi

baki

/baki/

Ufafanuzi msingi wa baki katika Kiswahili

: baki1baki2baki3

baki2

nominoPlural mabaki

 • 1

  sehemu ya kitu iliyobakia baada ya kugawanywa au kutolewa.

  ifu, asiya

Asili

Kar

Matamshi

baki

/baki/

Ufafanuzi msingi wa baki katika Kiswahili

: baki1baki2baki3

baki3

kivumishi

 • 1

  -siokuwa ndugu.

  -geni

Matamshi

baki

/baki/