Ufafanuzi wa bakteria katika Kiswahili

bakteria

nominoPlural bakteria

  • 1

    viumbe wadogo sana wasioonekana kwa macho ambao baadhi yao husababisha maradhi.

    kijimea, kijasumu

Asili

Kng

Matamshi

bakteria

/baktɛrija/