Ufafanuzi msingi wa balehe katika Kiswahili

: balehe1balehe2

balehe1

kitenzi sielekezi

  • 1

    (kwa mvulana au msichana) fikia umri wa kuweza kuzaa.

  • 2

    pevuka.

Asili

Kar

Matamshi

balehe

/balɛhɛ/

Ufafanuzi msingi wa balehe katika Kiswahili

: balehe1balehe2

balehe2

nomino

  • 1

    mvulana au msichana aliyeingia katika hali ya kuweza kuzaa.

Asili

Kar

Matamshi

balehe

/balɛhɛ/