Ufafanuzi wa balungi katika Kiswahili

balungi

nomino

  • 1

    tunda la mbalungi ambalo ni kubwa kuliko chungwa.

Asili

Kaj

Matamshi

balungi

/balungi/