Ufafanuzi wa bamia katika Kiswahili

bamia

nominoPlural mabamia

  • 1

    tunda refurefu kama kidole lenye mbegu ndogondogo ndani na hutumiwa kama mboga.

    binda

Asili

Khi

Matamshi

bamia

/bamija/