Ufafanuzi msingi wa bamvua katika Kiswahili

: bamvua1bamvua2

bamvua1

nominoPlural mabamvua, Plural bamvua

  • 1

    maji ya bahari yanayojaa wakati wa mwezi mwandamo na mwezi mpevu.

Matamshi

bamvua

/bamvuwa/

Ufafanuzi msingi wa bamvua katika Kiswahili

: bamvua1bamvua2

bamvua2

nominoPlural mabamvua, Plural bamvua

  • 1

    mdudu kama funza anayekaa katika mwili wa samaki.

Matamshi

bamvua

/bamvuwa/