Ufafanuzi wa bana katika Kiswahili

bana

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  weka katikati na songa pande zote mbili.

  ‘Bana matumizi fanya jambo litakalopunguza gharama’
  gandamiza, finya, fyanda, songa

 • 2

  nasa

 • 3

  ‘Bana mlango’
  funga

Matamshi

bana

/bana/