Ufafanuzi wa banda katika Kiswahili

banda

nominoPlural mabanda

 • 1

  nyumba ambayo agh. hutumika kuwekea vitu au wanyama.

  ‘Banda la kuku’
  ‘Banda la gari’
  ‘Banda la maonyesho’

 • 2

  jengo la muda.

Matamshi

banda

/banda/