Ufafanuzi wa bandu katika Kiswahili

bandu

nomino

  • 1

    kipande kilichopasuliwa kutoka kwenye mti, ubao au gogo.

Matamshi

bandu

/bandu/