Ufafanuzi wa bandua katika Kiswahili

bandua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kilichobandikwa.

    tenganisha, bambatua, pachua, kemba, ambua

Matamshi

bandua

/banduwa/