Ufafanuzi msingi wa bangaza katika Kiswahili

: bangaza1bangaza2

bangaza1

nomino

  • 1

    mtu anayekesha usiku kuotea kitu.

Matamshi

bangaza

/bangaza/

Ufafanuzi msingi wa bangaza katika Kiswahili

: bangaza1bangaza2

bangaza2

kitenzi elekezi

  • 1

    acha mlango wazi kwa ajili ya kuotea kitu.

Matamshi

bangaza

/bangaza/