Ufafanuzi wa bange katika Kiswahili

bange

nominoPlural bange

  • 1

    samaki mwenye umbo la mraba na michirizi ya rangi ya njano, zambarau na nyeupe, mdomo mwembamba kama wa kuku na mwiba katika kila shavu na ana vumba kali.

Matamshi

bange

/bangɛ/