Ufafanuzi wa bangili katika Kiswahili

bangili

nominoPlural bangili

  • 1

    pambo la mviringo lililotengenezwa kwa madini, timbi, sandarusi au pembe, n.k. na kuvaliwa na wanawake mikononi.

    udodi, timbi

Asili

Khi

Matamshi

bangili

/bangili/