Ufafanuzi msingi wa bango katika Kiswahili

: bango1bango2bango3

bango1

nominoPlural bango, Plural mabango

 • 1

  shina la kuti.

Matamshi

bango

/bangɔ/

Ufafanuzi msingi wa bango katika Kiswahili

: bango1bango2bango3

bango2

nominoPlural bango, Plural mabango

 • 1

  karatasi ngumu au kadi kubwa yenye matangazo au ujumbe maalumu, agh. huchukuliwa na watu wanapoandamana.

Matamshi

bango

/bangɔ/

Ufafanuzi msingi wa bango katika Kiswahili

: bango1bango2bango3

bango3

nominoPlural bango, Plural mabango

 • 1

  bati linalozuia matope juu ya gurudumu la gari, pikipiki au baiskeli.

  madigadi

Matamshi

bango

/bangɔ/