Ufafanuzi wa bania katika Kiswahili

bania

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    zuia kitu bila ya kutaka kukitumia au kumpa mwingine; kuwa bahili.

Matamshi

bania

/banija/