Ufafanuzi wa banua katika Kiswahili

banua

kitenzi elekezi

  • 1

    achisha kubana.

    legeza

Matamshi

banua

/banuwa/