Ufafanuzi msingi wa bao katika Kiswahili

: bao1bao2bao3bao4

bao1

nomino

 • 1

  ubao

 • 2

  jukwaa

nomino

Ufafanuzi msingi wa bao katika Kiswahili

: bao1bao2bao3bao4

bao2

nomino

 • 1

  kipande cha mti kilichochongwa na kuchimbuliwa vishimo kinachotumiwa katika mchezo unaotumia kete, namu, komwe au vijiwe.

 • 2

  mchezo wenyewe.

Matamshi

bao

/bawɔ/

Ufafanuzi msingi wa bao katika Kiswahili

: bao1bao2bao3bao4

bao3

nomino

 • 1

  ramli

 • 2

  ubao unaotumiwa na mtazamiaji ramli.

  mburuga

Ufafanuzi msingi wa bao katika Kiswahili

: bao1bao2bao3bao4

bao4

nomino

 • 1

  goli katika mchezo wa mpira.

  ‘Funga bao’
  ‘Pata bao’
  dungu, nage, goli

Matamshi

bao

/bawɔ/