Ufafanuzi wa bara katika Kiswahili

bara

nominoPlural mabara

 • 1

  nchi kavu.

  ‘Bara Arabu’
  ‘Bara Hindi’
  nchi

 • 2

  mbali na pwani au na visiwa.

  ‘Tanzania bara’

 • 3

  pande mojawapo la nchi kavu duniani.

  ‘Bara la Afrika’
  ‘Bara la Ulaya’
  ‘Bara la Amerika’
  kontinenti

Asili

Kar

Matamshi

bara

/bara/