Ufafanuzi msingi wa barabara katika Kiswahili

: barabara1barabara2barabara3

barabara1

nominoPlural barabara

 • 1

  njia pana ya magari.

Ufafanuzi msingi wa barabara katika Kiswahili

: barabara1barabara2barabara3

barabara2

kielezi

 • 1

  kama inavyotakiwa; sawasawa kabisa; bila ya kasoro.

  ndivyo, vizuri, vyema, halisi, kifai, ajibu, amba!

Ufafanuzi msingi wa barabara katika Kiswahili

: barabara1barabara2barabara3

barabara3

nominoPlural barabara

 • 1

  jamii ya ndege aina ya hondohondo.

Matamshi

barabara

/bara'bara/