Ufafanuzi wa barafu katika Kiswahili

barafu

nomino

  • 1

    maji yaliyoganda kutokana na baridi kali.

Asili

Kaj

Matamshi

barafu

/barafu/