Ufafanuzi wa baraka katika Kiswahili

baraka

nominoPlural baraka

  • 1

    mambo mema kwa jumla.

    mafanikio, fanaka, ustawi, neema, heri, radhi

  • 2

    wingi wa vitu.

    ‘Ana baraka ya majumba’

Asili

Kar

Matamshi

baraka

/baraka/