Ufafanuzi wa barakoa katika Kiswahili

barakoa

nominoPlural barakoa

 • 1

  kipande cha kitambaa kinachovaliwa na baadhi ya wanawake kutoka paji la uso mpaka mdomoni.

  ukaya

 • 2

  kinyago kinachovaliwa usoni.

 • 3

  vazi la usoni na kichwani lenye tundu kwenye macho, pua na mdomo, au bila tundu, linalotumiwa kukinga au kuziba uso kwa nia fulani.

Asili

Kar

Matamshi

barakoa

/barakɔwa/