Ufafanuzi wa baraste katika Kiswahili

baraste

nominoPlural baraste

  • 1

    barabara kuu iliyotengenezwa vizuri.

    gurufu

Asili

Kng

Matamshi

baraste

/barastɛ/