Ufafanuzi wa baraza la chuo kikuu katika Kiswahili

baraza la chuo kikuu

  • 1

    chombo cha juu kabisa kinachoidhinisha uamuzi, mipango na shughuli nyingine katika chuo kikuu.