Ufafanuzi wa bari katika Kiswahili

bari

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tenganisha chombo ili kisigongane na kingine.

  • 2

    kaa kando; kaa pembeni.

Asili

Kng

Matamshi

bari

/bari/