Ufafanuzi wa barikia katika Kiswahili

barikia

kitenzi elekezi

  • 1

    uzia mtu kitu kwa bei ya maslahi k.v. mnadani.

Matamshi

barikia

/barikija/