Ufafanuzi wa bariyo katika Kiswahili

bariyo

nominoPlural bariyo

  • 1

    chakula kilicholala hadi asubuhi.

    kiporo, uporo, mwiku

Matamshi

bariyo

/barijɔ/