Ufafanuzi msingi wa barubaru katika Kiswahili

: barubaru1barubaru2

barubaru1 , barobaro

nominoPlural barubaru

  • 1

    kijana wa kiume aliyekwisha kubalehe.

    kinda, ghulamu, hirimu

Asili

Kar

Matamshi

barubaru

/barubaru/

Ufafanuzi msingi wa barubaru katika Kiswahili

: barubaru1barubaru2

barubaru2

nominoPlural barubaru

  • 1

    samaki jamii ya papa.

Asili

Kar

Matamshi

barubaru

/barubaru/