Ufafanuzi msingi wa basha katika Kiswahili

: basha1basha2basha3

basha1

nomino

 • 1

  mzungu wa nne katika karata.

Asili

Kaj

Matamshi

basha

/ba∫a/

Ufafanuzi msingi wa basha katika Kiswahili

: basha1basha2basha3

basha2

nomino

 • 1

  mkuu wa askari au wa manowari.

Asili

Kaj

Matamshi

basha

/ba∫a/

Ufafanuzi msingi wa basha katika Kiswahili

: basha1basha2basha3

basha3

nomino

 • 1

  mwanamume mwenye kulawiti watu.

  mlawiti, mfiraji, mende, mula, afande

Matamshi

basha

/ba∫a/