Ufafanuzi msingi wa bashiri katika Kiswahili

: bashiri1bashiri2

bashiri1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  eleza habari ya mambo yatakayotokea.

 • 2

  tazamia kwa kupiga bao au ramli.

  tabiri, abiri

Asili

Kar

Matamshi

bashiri

/ba∫iri/

Ufafanuzi msingi wa bashiri katika Kiswahili

: bashiri1bashiri2

bashiri2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  eneza mambo ya dini.

Asili

Kar

Matamshi

bashiri

/ba∫iri/