Ufafanuzi msingi wa batabata katika Kiswahili

: batabata1batabata2

batabata1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa nyayo bila ya kuinua visigino.

Matamshi

batabata

/batabata/

Ufafanuzi msingi wa batabata katika Kiswahili

: batabata1batabata2

batabata2

kivumishi

  • 1

    -enye ubapa.

Matamshi

batabata

/batabata/