Ufafanuzi wa batabukini katika Kiswahili

batabukini

nominoPlural mabatabukini

  • 1

    bata mkubwa sana mwenye rangi nyeupe na hupendelea kula majani ya ukoka.

Asili

Kar

Matamshi

batabukini

/batabukini/