Ufafanuzi msingi wa batili katika Kiswahili

: batili1batili2batili3

batili1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tangua au vunja makubaliano.

  vunja

Ufafanuzi msingi wa batili katika Kiswahili

: batili1batili2batili3

batili2

nominoPlural batili

 • 1

  ‘Haki hushinda batili’

Ufafanuzi msingi wa batili katika Kiswahili

: batili1batili2batili3

batili3

kivumishi

 • 1

  -siokuwa haki; -sio na nguvu; -siokubalika.

Asili

Kar

Matamshi

batili

/batili/