Ufafanuzi wa batilisha katika Kiswahili

batilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tangua maafikiano au mkataba uliokuwapo.

    fusahi, tangua, tengua, haramia, futa

Asili

Kar

Matamshi

batilisha

/batiliāˆ«a/