Ufafanuzi wa batli katika Kiswahili

batli

nominoPlural batli

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kitabu kitumiwacho melini kuandikia habari zake zote za kila siku.

Asili

Kar

Matamshi

batli

/batli/