Ufafanuzi wa batua katika Kiswahili

batua

kitenzi sielekezi

  • 1

    tembea kama mtoto anayeanza kwenda.

Matamshi

batua

/batuwa/