Ufafanuzi wa baura katika Kiswahili

baura

nominoPlural baura

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    nanga yenye ncha mbili.

Asili

Kng

Matamshi

baura

/bawura/