Ufafanuzi wa bawaba katika Kiswahili

bawaba

nominoPlural bawaba

  • 1

    kipande cha chuma kinachopigiliwa kwenye k.v. mlango, dirisha au sanduku ili kuwezesha kufunga na kufungua.

Asili

Kar

Matamshi

bawaba

/bawaba/