Ufafanuzi wa bawasiri katika Kiswahili

bawasiri, baasili

nominoPlural bawasiri

  • 1

    ugonjwa wa mishipa ya damu mkunduni na unaosababisha mkundu kuvimba na kutokeza nje na kutoa damu.

    kikundu, futuri, mjiko, puru

Asili

Kar

Matamshi

bawasiri

/bawasiri/