Ufafanuzi wa bazazi katika Kiswahili

bazazi

nominoPlural mabazazi

  • 1

    mtu atumiaye hila.

    mdanganyifu, laghai, pwagu, mzandiki, mwongo, mnafiki

Asili

Kar

Matamshi

bazazi

/bazazi/