Ufafanuzi wa bedui katika Kiswahili

bedui

nominoPlural mabedui

  • 1

    mtu wa jamii ya watu wanaoishi jangwani au majabalini sehemu za Mediterani na Afrika Kaskazini.

Asili

Kar

Matamshi

bedui

/bɛduwi/