Ufafanuzi wa bega katika Kiswahili

bega

nominoPlural mabega

  • 1

    sehemu ya mwili iliyoko kati ya mkono na shingo.

    ‘Bega kwa bega kwa pamoja’
    ‘Kwa kushirikiana’
    fuzi

Matamshi

bega

/bɛga/