Ufafanuzi wa beki katika Kiswahili

beki

nominoPlural mabeki

  • 1

    mchezaji wa sehemu ya nyuma katika mchezo wa mpira wa miguu.

    mlinzi

Asili

Kng

Matamshi

beki

/bɛki/