Ufafanuzi msingi wa bembea katika Kiswahili

: bembea1bembea2

bembea1

kitenzi sielekezi

  • 1

    ning’inia au yumbayumba katika kamba au ubao ulioning’inizwa.

Matamshi

bembea

/bɛmbɛja/

Ufafanuzi msingi wa bembea katika Kiswahili

: bembea1bembea2

bembea2

nomino

  • 1

    kamba, chuma au ubao ulioning’inizwa baina ya kamba, chuma, au minyororo miwili kwa ajili ya kuchezea, agh. watoto.

Matamshi

bembea

/bɛmbɛja/